Fahamu mahitaji muhimu kwa maisha ya geto ambayo kila mtu anayeishi geto au kutaka kuishi geto ni lazima awe nayo. Mahitaji haya ni ya kawaida sana ambayo…… Read more “Mahitaji muhimu kwa maisha ya geto”
Author: Msomeni blog
Fanya haya kila siku kufikia mafanikio
Mafanikio ni lengo la watu wengi katika ulimwengu wa leo lakini wakati mwingine hawaonekani kuyapata. Mara nyingi, wana mipango na wana ndoto lakini mwishowe hujikuta wakitembea kwa…… Read more “Fanya haya kila siku kufikia mafanikio”
Jinsi ya kubadili ‘Add friend’ kuwa ‘Follow’ – Facebook
Facebook imekuwa ni mtandao maarufu katika kuendeleza na kupata marafiki wapya. Lakini kutokana na ukomo wa idadi ya marafiki ambayo ni 5000 inakuwa ngumu kupata marafiki wengine…… Read more “Jinsi ya kubadili ‘Add friend’ kuwa ‘Follow’ – Facebook”
Ukiona dalili hizi jua simu yako imedukuliwa
Ukiona dalili hizi za hatari ujue simu yako imedukuliwa. Taarifa zako sio za siri tena, kuna mtu anaona kila kitu kwenye simu yako. Ni muhimu sana kuhakikisha…… Read more “Ukiona dalili hizi jua simu yako imedukuliwa”
Jinsi ya kuuza bidhaa mtandaoni kwa haraka
Katika mwongozo huu utapata kufahamu njia rahisi na nyepesi za kuuza bidhaa mtandaoni kwa haraka bila ya kutoa jasho. Njia hizi zitakuwezesha kuuza bidhaa zako sehemu yoyote…… Read more “Jinsi ya kuuza bidhaa mtandaoni kwa haraka”
Jinsi ya kuanzisha duka la mtandaoni bure
Kuanzisha duka la mtandaoni ni kazi ya dakika chache tu ambapo utaweza kuanzisha duka lako na kupost bidhaa zako kwa kutumia smartphone yako. (Sio lazima uwe na…… Read more “Jinsi ya kuanzisha duka la mtandaoni bure”
Jinsi ya kutengeneza blog ya WordPress bure
WordPress ni miongoni mwa platform maarufu ulimwenguni kwa utengenezaji wa blogs na websites. Katika ulimwengu wa leo, kutengeneza blog ya WordPress ni wazo zuri sana kwani asilimia…… Read more “Jinsi ya kutengeneza blog ya WordPress bure”
Wanaharakati wa upinzani Tanzania walioiteka Twitter
Wafahamu Wanaharakati wa upinzani Tanzania walioiteka mitandao ya kijamii kama vile Twitter, Facebook na Instagram 1. Maria Sarungi Tsehai Maria Sarungi Tsehai ni mwanaharakati wa Kitanzania anayejulikana…… Read more “Wanaharakati wa upinzani Tanzania walioiteka Twitter”
Maduka 4 bora ya kununua bidhaa mtandaoni-Tz
Biashara ya kuuza na kununua bidhaa mtandaoni imekuwa maarufu sana katika miaka hii ya sayansi na teknolojia. Pia imekuwa ni njia rahisi kwa wauzaji na wanunuaji kwani…… Read more “Maduka 4 bora ya kununua bidhaa mtandaoni-Tz”
Jinsi ya kumuweza demu mpenda pesa
Kuwa kwenye Mahusiano na demu au mwanamke anayependa pesa ni sawa na kuajiri mtu unayemlipa kila mwezi. Sio kazi ndogo kumudu matumizi ya wanawake wa aina hii…… Read more “Jinsi ya kumuweza demu mpenda pesa”